Ta Ha 20:102 يوم ينفخ في الصور ونحشر المجرمين يوميذ زرقا ١٠٢
يَوۡمَ
يُنفَخُ
فِي
ٱلصُّورِۚ
وَنَحۡشُرُ
ٱلۡمُجۡرِمِينَ
يَوۡمَئِذٖ
زُرۡقٗا
١٠٢
Siku litakapo pulizwa barugumu, na tukawakusanya wakhalifu Siku hiyo, hali macho yao ya kibuluu.
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Siku Malaika watakapovuvia kwenye pembe ili kutoa ukulele wa kufufuliwa na tuwaongoze makafiri siku hiyo wakiwa rangi ya buluu, miili yao imegeuka na pia macho yao kwa matukio makubwa yaliyojiri.
Siku Malaika watakapovuvia kwenye pembe ili kutoa ukulele wa kufufuliwa na tuwaongoze makafiri siku hiyo wakiwa rangi ya buluu, miili yao imegeuka na …